YANGA imeanza na ushindi kwa mara ya kwanza katika hatua ya makundi michuano ya CAF, hayo yamefanyika chini ya kocha Pedro Goncalves, raia wa Ureno.
BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
Twaha Kiduku: Nakula chipsi mayai kabla ya kupanda ulingoni, ngumi kuna rushwa, mikataba malikauli Jumapili, Novemba 09, 2025 ...
TIMU za Ligi Kuu England, zinaripotiwa kutuma wawakilishi kwenda Hispania kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Atletico ...
MIAMI, MAREKANI: VICTOR Wembanyama, LeBron James na Stephen Curry wanapambana kuwa mchezaji bora zaidi wa mpira wa kikapu ...
WINGA wa Chelsea, Estevao Willian, ameng'ara usiku wa Novemba 25, 2025 wakati timu hiyo ikipata ushindi wa 3-0 dhidi ya ...