YANGA imeanza na ushindi kwa mara ya kwanza katika hatua ya makundi michuano ya CAF, hayo yamefanyika chini ya kocha Pedro Goncalves, raia wa Ureno.
BAO la dakika 16 la Mganda Peter Lwasa limeiwezesha Pamba Jiji kupata ushindi wa tatu katika Ligi Kuu Bara na kukwea hadi ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
Wadau mbalimbali wa soka, wakiwemo mashabiki wa Simba, wanaendelea kuwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia timu hiyo ikianza safari ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ...
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
MIONGONI wa vijana wanaogonga vichwa vya habari nchini kwa sasa kutokana na vipaji katika Ligi Kuu Bara ni Juma Issa Abushiri ...
WINGA wa Chelsea, Estevao Willian, ameng'ara usiku wa Novemba 25, 2025 wakati timu hiyo ikipata ushindi wa 3-0 dhidi ya ...
BAADA ya Simba kupoteza mechi ya kwanza hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, unaambiwa ndani ya klabu ...
MATESO ya Ajax katika Ligi ya Mabingwa Ulaya yameendelea baada ya kuchapwa na Benfica, timu nyingine iliyokuwa ikipambana, na ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results