Katika msimu wa majira ya baridi wa 2019, idadi ya watoto wanaoishi katika mkoa wa Jammu nchini India walianza kuugua ugonjwa ambao wengi waliouita, ugonjwa wa ajabu. Watoto hao, walikuwa ...
Mapema mwezi Septemba, mlolongo wa vifo visivyoeleweka vya watoto katika mji mdogo wa Madhya Pradesh uliwafanya wahudumu wa afya kuingiwa na taharuki. Angalau watoto 11 wenye umri kati ya mwaka mmoja ...
Zaidi ya watoto 20 walio chini ya umri wa miaka mitano wamefariki dunia katika jimbo la Madhya Pradesh, India, baada ya kutumia dawa ya kikohozi iliyogundulika kuwa na kiwango kikubwa cha kemikali ...
Shirika la afya duniani, WHO limetoa tahadhari nyingine juu ya dawa ya kikohozi inayotengenezwa nchini India. Shirika hilo limetanabahisha kwamba mchanganyiko wa dawa hiyo ya kunywa unaweza ...